KOCHA, Ruben Amorim amekiri kwamba ataendelea kuuza mastaa wake ili apate pesa ya kusajili wengine huku hilo likituma ujumbe ...
ACHANA na rekodi ya kuburuza mkia katika Ligi Kuu Bara tangu ilipoanza, sare ya bao 1-1 iliyoipata KenGold dhidi ya Tabora ...
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua baada ya mchezo wao wa Ligi Kuu uliokuwa upigwe leo dhidi ya Dodoma Jiji kuahirishwa, ...
ATLETICO Madrid inataka kutuma ofa kwenda Chelsea katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ili kuipata saini ya ...
SIKU moja baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania masjala kuu ya Dodoma kuamuru kuitwa kortini wachezaji watatu wa Singida Black ...
Msimu uliopita, Simba na Yanga zilitumia Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam kwa mechi zao za nyumbani za ...
Huku akiweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyeifunga Yanga mara nyingi, Dua anasimulia mikasa ya usajili, wakati wa uongozi wa Hans Pope yeye akiwa mjumbe wa kamati hiyo na kutaja sababu za mastaa wengi ...
KAMA ulikuwa unafikiri Azam FC walimsajili Ali Ahamada miaka mitatu iliyopita kwa sababu ya mkwanja mrefu ambao waliuweka ...
HIVI karibuni katika tuzo za Grammy 2025, miongoni mwa wageni walihudhuria na kuangaziwa sana na vyombo vya habari ni pamoja ...
VITA ya ufungaji bora wa Ligi Kuu ya Wanawake (TWPL) inazidi kupamba moto kati ya mastaa wawili, Stumai Abdallah ((JKT Queens) na Jentrix Shikangwa (Simba Queens) huku mbio zao zikikolezwa ...
IPO methali ya Kiswahili isemayo "Ukweli mchungu" ikiwa na maana kwamba wakati mwingine kusema ukweli huleta maumivu, huzuni au hali ngumu kwa mtu anayekubali au anayeambiwa ukweli husika.
NINAPOONGELEA ngoma zangu bora za wakati wote lazima niitaje 'Kila Wakati' ya Godzilla featuring G Nako. Ile ngoma ilikuwa ya moto na inawezekana ndiyo ngoma ya kwanza ambayo Godzilla ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results