ARUSHA: WANANCHI wanaotapeliwa kwa njia ya mitandao ya simu wametakiwa kutoa taarifa polisi na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili wahusika wachukuliwe hatua kukomesha suala hilo. Waziri wa Maw ...
GEITA: JESHI la Polisi mkoani Geita linawashikilia wanafunzi 30 wa kidato cha sita, shule ya sekondari Geita (GESECO) iliyopo ...
MOROGORO: MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amewaagiza wawekezaji waliochukua vitalu vya uchimbaji madini kwa muda mrefu ...
Wafungwa, msamaha wa rais, Bodi ya Parole, Tanzania, mbaroni kwa wizi, biashara ya viwanja, viongozi wasio waadilifu, ...
DAR ES SALAAAM: FAINALI ya shindano la kusaka vipaji nchini, Bongo Star Search (BSS), msimu wa 15, inatarajiwa kufanyika Februari 28, 2025, katika ukumbi wa Ware House, Masaki jijini Dar es Salaam.
Akizungumzia mashindano hayo Dar es Salaam leo, Mratibu wa Mashindano hayo, Ally Kamwe amesema waandaaji wa mashindano hayo ...
Akizungumzia mashindano hayo Dar es Salaam leo, Msemaji wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema waandaaji wa mashindano hayo ...
DAR ES SALAAM: CHAMA cha ACT – Wazalendo kimeeleza kuwa kitafanya kikao chake cha Halmashauri Kuu Februari 23, 2025 ukumbi wa ...
Rais Dk Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wanawake waliobahatika kupata fursa ya elimu na kuwa viongozi kwenye maeneo ...
MTWARA: BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara limepitisha rasimu ya mpango wa bajeti ya Sh ...
DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Tanzania inatarajia kuingiza Dola 968,000 sawa na Sh bilioni 2.5 na mapato mengine kama ada ya ...
Askari wa Mamlaka ya wanyamapori kwa kushirikiana na askari kutoka Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania(TANAPA) na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results