Hali ya sintofahamu imejitokeza katika uchaguzi wa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Arusha, ...
Fedha za ujenzi wa kipande cha reli ni kutoka Benki ya Standard Chartered, Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Kampuni ya ...
Ugonjwa wa pumu ya ngozi unatajwa kuwa kinara wa magonjwa ya ngozi yanayowatesa wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Teknolojia ya kuzalisha bidhaa bora, mtaji na soko hususani la kimataifa vimetajwa kuendelea kuwa changamoto kwa ...
Katika kupambana na janga la ogezeko la ajali za barabarani, Zanzibar imeendelea kubuni mikakati, safari hii kwa mara ya ...
Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha (AICC) imeingia kwenye mgogoro mkubwa na wapangaji wake zaidi ya 450 baada ya ...
Noela, mjane wa Lawrance Mafuru na wanawe, Lora na Lorine wakimuaga mpendwa wao leo Alhamisi, Novemba 14, 2024 katika viwanja ...
Kutokana na kilio cha wananchi kisiwani Pemba cha kuzuiwa kuchimba mawe, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeondoa zuio hilo lakini ikiwataka kuzingatia utaratibu uliowekwa katika uchimbaji.
Karibu asilimia 67 ya Watanzania wanaamini kuwa nchi inaelekea kwenye mwelekeo sahihi na idadi kubwa inatarajia uchumi ...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amewaomba radhi watu wote ambao ...
Wakati kiwango cha dunia cha ulaji samaki kikiwa kilo 21 kwa mwaka kwa kila mtu, Zanzibar imekivuka na kufikia wastani wa ...
Mzee Modest ameweka wazi kuwa simu nyingi alizopokea baada ya gazeti la Mwanaspoti kuripoti hali yake ni za wachungaji ...