LIGI ya Championship inaendelea tena kurindima wikiendi hii, ambapo baada ya jana kuchezwa mchezo mmoja, leo mingine miwili ...
LIGI Kuu England inaweza kutawala soka la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao kwa kuwa na timu saba zitakazoshiriki mikikimikiki hiyo.